Avsnitt
-
Makala hii exclusive inaeleza kuhusu mpango kabambe unaoendelea kuhakikisha Mwenyekiti mpya wa Chadema, Mheshimiwa Tundu Lissu hafanikiwa kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Awali Mheshimiwa Lissu alishatangaza nia ya kuwania urais, japo hajatamka tena baada ya kushinda uenyekiti wa taifa wa chama hicho kikuu cha upinzani.
Otherwise, albamu ya #Jasusi iitwayo #JasusiTheAlbum Volume One sasa inapatikana Spotify, Apple Music, Amazon Music, YouTube Music, TikTok, Instagram, Facebook, Snapchat,nk. Kwa maelezo zaidi, tembelea https://jasusi.comPia, usisubiri hadi utekwe na #WatuWasiojulikana ndio ukumbuke kwamba Jasusi aliandika kitabu maalum cha Mwongozo wa Hatua za Kuchukua Pindi Ukibaini Kuwa Maisha Yako Yapo Hatarini (au hatua za tahadhari hata kama maisha yako hayapo hatarini). Pata kopi yako hapa https://jasusi.com/mwongozo
-
S02E04: Maongezi na Mtangazaji Maarufu wa Wasafi Media Charles William
Charles anajibu maswali haya
1. Charles William ni nani
2. Nini kilikuvutia kuingia kwenye fani ya habari
3. Changamoto gani ulizokumbana nazo katika safari yako hadi kufikia ulipo, na zipi zilizopo sasa
4. Wewe sio tu ni mmoja ya watangazaji maarufu Tanzania bali ni mmoja wa watu maarufu Tanzania. Je zipi ni faida za umaarufu huo. Na Je kuna hasara za umaarufu huo kama yes, ni zipi?
5. Mwisho, kama kijana na role model kwa vijana wenzio, una ushauri gani kwao hususan kwa wale wenye ndoto za kufikia sehemu kama uliyopo sasa.
TANGAZO: Pata kopi za vitabu "Ujasusi Ni Nini na Je Majasusi Wanafanya Kazi Gani Hasa (Sh 45,000/=) na "Afisa Usalama wa Taifa ni Mtu Gani na Anafanya Nini?" (Sh 20,000/=). Free delivery Dar, mikoani delivery sh 5,000/= kwa kila kitabu. M-Pesa 0767340975 jina Anna
Kwa walio nje ya Tanzania, vitabu vinapatikana hapa https://go.chahali.com/spybooks
-
Saknas det avsnitt?
-
S02E03: Uchambuzi kuhusu kuuawa kwa Haniyeh huko Irani, na vurugu kubwa nchini Uingereza
-
S02E02: Mahojiano na Mwanahabari Nguli Afrika Mashariki, Jackie Lumbasi
-
Uzinduzi wa Season 02
-
Uchambuzi mfupi kuhusu mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri yaliyotangazwa Julai 21, 2024
-
1. Kilichojiri
2. Mhusika
3. Haki ya kikatiba kumiliki silaha Marekani inavyochangia mauaji holela
4. Trump kama mhanga wa kauli zake, mfano alivyohamasisha wafuasi wake kuvamia Kongresi Januaru 6, 2021
5. Zama za Fake, siasa za uhasama kati ya Republicans vs Democrats
6. Biden hahusiki lakini haijalishi alimradi watu wanaamini hivyo
7. Shinikizo dhidi ya Biden ajiondoe kuwania urais kama kisingizio kuwa amepanga kumuua Trump
8. Trump atanufaika na tukio hili
9. Kufeli kwa intelijensia
10. Uwezekano wa mkono kutoka nje na funzo kwa Tanzania kuhusu siasa za chuki -
Makala hii fupi inakufahamisha kuhusu uhusiano kati ya intelijensia hususan ujasusi na Juma Kuu, hususan Jumatano Kuu ambayo pia hufahamika kama Jumatano ya Kijasusi (Spy Wednesday). Kadhalika, makala inamwangalia Yuda Iskariote kama pandikizi aliyemsaliti Bwana Yesu
-
Jinsi ya Kuwa Mtu Bora S01E05: Jinsi ya Kutatua Tatizo Lolote Lile Maishani
-
Jinsi ya Kujiandaa Dhidi ya Majanga Maishani
-
Episode ya tatu katika mfululizo wa makala kuhusu mbinu mbalimbali za kukufanya kuwa mtu bora. Episode hii inahusu tabia 14 zinazokwamisha maendeleo ya mtu
-
Episode ya pili katika Season kwa Kwanza ya mfululizo wa makala hizi za #JinsiYaKuwaMtuBora, neno ambalo ni tafsiri niliyobuni ya "Personal Development".
-
"Jinsi ya Kuwa Mtu Bora" ni tafsiri isiyo rasmi ya "Personal Development." Mada za kuhusu "Jinsi ya Kuwa Mtu Bora" zinapatikana katika kijarida (newsletter) cha "AdelPhil Online Academy" (chuo cha bure cha mtandaoni kinachofundisha bure kozi mbalimbali) . Ikikupendeza, fanya kujisajili leo
-
Jinsi ya Kujiunga na Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania
-
Happy Mother's Day
- Visa fler