Avsnitt
-
Karibu kwenye episode ya 78 ya KijiweNongwa, Leo tunazungumza kuhusu Show za Simba Day na Yanga. Tunaangazia Bei elekezi ya show na kasi ya wasanii wa Nigeria kutoa album kwa haraka. Karibu utusikilize.
-
Tunazungumzia Komasava Rmx pamoja na kesi ya Ditto na Soggy. Tusikilize.
-
Saknas det avsnitt?
-
Karibu kwenye episode yetu ya 76 ya KijiweNongwa leo tunazungumzia nyimbo mpya kutoka kwa Rayvanny, Harmonize na Dizasta. Tunaicheki pia album ya BIEN Alusa Why are you topless (Deluxe). Kwa kumalizia tunaangazia Record labels na wasanii. Nini wajibu wa wasanii wetu kwa Record Labels hizi. Tuna imani utaifurahia episode hii.
-
Karibu kwenye episode ya 75 ya KijiweNongwa. Leo tunazungumza kuhusu nyimbo mpya ya Phina #WeHuogopi, JayMelody na show yake pale Warehouse. Tunamalizia na mazungumzo kuhusu Rema na project yake mpya ya #Heis , muonekano wake na jinsi sanaa inavyochochea uhalisia. Karibu utusikilize.
-
Nyimbo mpya wiki hii, album mpya ya Young Lunya pamoja na kutoka patupu BET. Karibu utusikilize.
-
Karibu kwenye episode ya 72 ya kijiwe nongwa.
-
Karibu kwenye episode ya 71 ya Kijiwenongwa na Leo ni kijiwe HURU. Tumezungumza mambo kadha wa kadha na baadhi ya mashabiki wa #KijiweNongwa.
Karibu utusikilize. -
Karibu kwenye episode ya 70 ya KijiweNongwa na hapa tunazungumzia Album ya Harmonize,#MuzikiWaSamia. Nini maoni yako?
-
Karibu kwenye episode ya 69 ya kijiwe nongwa.
-
Karibu kwenye episode ya 68 ya KijiweNongwa, tumezungumzia Nyimbo mpya ya JayMOE NA Country boy #Mocassin. Review ya album ya JayMelody Therapy na recap ya BongoFleva honors ya kwake AyMasta. Karibu utusikilize.
-
Karibu kwenye episode yetu ya 67 ya KijiweNongwa, tunazungumzia nyimbo mpya, vionjo vya kiasili kwenye nyimbo mpya ya Marioo na Dullah na Lesa kwenda Crown Fm. Karibu utusikilize.
-
Heri ya sikukuu ya Eid, karibu kwenye episode ya 66 ya kijiwe nongwa. Tumezungumzi tuzo za muziki Tanzania, muziki wa Bongo records kutolewa Boomplay, Wali Nazi ya TID na QCHIEF na UTAMADUNI wa mtanzania katika muziki.
Tusikilize. -
Alikiba amekuja na media house mpya na tunazungumzia Hilo kwa undani sana, Je, Hip hop imekufa kama anavyosema Moni?
-
Kufungiwa kwa Zuchu na mkataba mpya kati ya Mavins na Universal Music Group. Vipi Maua na King Kiba?
-
Dah ya Nandy na Mapoz ya Simba zinafanya vizuri, huu ni mwelekeo mzuri kuirudia bongo Fleva?
-
Mwamba wa kaskazini Leo anachuku headlines, lakini ni wewe peke yako unadhani Baraka De prince na Vanilla wanasound the same? Iko hapa.
-
Karibu kwenye kipindi chetu Cha 60 kwenye episode yetu ya KijiweNongwa. Na wiki hii tunazungumzia Nyimbo mpya kutoka kwa Vanillah, Nandy pamoja na Mbosso Khan.
Kwa ufupi sana tunazungumzia Album ya Dizasta Vina ya #AFatherFigure na kwanini Wakazi na Roma wanavutana saaana mitandaoni?
Kumalizia kabisa ni nyimbo ya Dullah Makabila, Furahi. Hii ni ya Zaylisa kabisa. Tusikilize hapa -
Heri ya mwaka mpya na karibu katika episode yetu ya kwanza kabisa kwa mwaka 2024. Tunaanza kwa kuangalia nini kimetokea tukiwa mapumzikoni, EP mpya ya Ben Pol #Flamingo tunazungumzia hapa na zile tuhuma za Rayvanny ameisha anafanya MAREMIX tu, kuanzia kwa MisoMisondo mpaka kwa Dayoo #HuuMwaka? Zote tumechambua hapa. Karibu sana
-
Karibu kwenye episode ya 58 ya KijiweNongwa ambayo pia ni episode yetu ya mwisho kwa mwaka 2023.
Tunazungumzia nyimbo mpya kutoka kwa Whozu, Maua Sama, Stamina na K2ga. Tunaambaa zaidi na kujaribu kuelewa nini kinaendelea kati ya Loui na Label yake ya Legacy Records.
Ipi ni nyimbo ya Mwaka? Tunazungumza kuhusu nyimbo kubwa mwaka huu na kuiteua moja kuwa nyimbo ya Mwaka.
Nini tukitarajie 2024 kutoka kwenye Bongo Fleva? Tunafunga na mjadala huo.
Tupende kushukuru sana kwa kutusikiliza kwa mwaka huu, na kwa pamoja tunakutakia sikukuu za heri za mwisho wa mwaka wewe na wapendwa wako.
Mpaka 2024.
Heri ya Krisimasi🎄 na Mwaka Mpya 🎇 - Visa fler